Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Labda wajishtukie..mfn mie saa hz niko hapa zambezi ubungo..km unaeza kuja njoo tu ..tulianzisheHakuna atakae kuja hahahahhaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda wajishtukie..mfn mie saa hz niko hapa zambezi ubungo..km unaeza kuja njoo tu ..tulianzisheHakuna atakae kuja hahahahhaa
Niko hapa zambezi ubungo ..karibuhiyo watakua active member tu wengine muendelee kulala![]()
![]()
😁😂🤣🤣😁😁Najua bro Intelligent Businessman unasoma huu uzi. Pole kwa Ban. Najua Mod aliekupiga ni issue personal. Pamoja sana. Lindo lipo salama bro.
Oya nimepita hapo sio muda dah. Maisha aya. Nimeamua kuondoka ile kuongozana nae ananileta huku upande wa riverside hall kwenye uchochoro flani katangulia mi nikaamsha atakua anafika anageuka hamna mtu. Starehe ya dk 5 isinitoe mchezoni aisee.Labda wajishtukie..mfn mie saa hz niko hapa zambezi ubungo..km unaeza kuja njoo tu ..tulianzishe
Hivi member wa nyuzi nyingine wakituonaga wazee wa Night Vision itakua tunaonekana loosers kinoma.
Saiv anatuangalia. So Intelligent businessman atakuwa hapa tena. Ila kuna id imetembea na member weng ikishow upendo nahisi anaweza kuwa yeyeNajua bro Intelligent Businessman unasoma huu uzi. Pole kwa Ban. Najua Mod aliekupiga ni issue personal. Pamoja sana. Lindo lipo salama bro.
Bila kuvunja sheria, uwongo?ni jukwaa huru kikubwa kila mtu afany kinachompa furaha
Atakua ana ID mbili yule lazima. Kumpa ban mtu poa yule dah.Saiv anatuangalia. So Intelligent businessman atakuwa hapa tena
🤣😂😁😁😁 Dahwe ni mpinzani wetu
HahahahahaOya nimepita hapo sio muda dah. Maisha aya. Nimeamua kuondoka ile kuongozana nae ananileta huku upande wa riverside hall kwenye uchochoro flani katangulia mi nikaamsha atakua anafika anageuka hamna mtu. Starehe ya dk 5 isinitoe mchezoni aisee.
🤣😂😁😁😁😁Atakua ana ID mbili yule lazima. Kumpa ban mtu poa yule dah.
Bila kuvunja sheria, uwongo?
Unajua ana wiki sahivi. Isijekua kala lifeban? Ban nyingi jukwaa la Siasa. Ukijimix kule haukosi. Unamtukana Platinum member?🤣😂😁😁😁😁
😂🤣😁😁😁. Alinitukania mama yangu yule jamaaUnajua ana wiki sahivi. Isijekua kala lifeban? Ban nyingi jukwaa la Siasa. Ukijimix kule haukosi. Unamtukana Platinum member?
ilazo makao makuu, mkuu wangu but i appreciate it.Niko hapa zambezi ubungo ..karibu
Msamehe yule jamaa ni mtu poa. Hafu ana madini sometimes sema ugumu wa maisha tu. Sometimes zinamruka.😂🤣😁😁😁. Alinitukania mama yangu yule jamaa
😁😁😁😁Hata wanàotuloga.
Wanasema hawaamini ushirikina..
😂😂😂😂
Mkuu ule uzi wa like unaujuaaaa?Hivi member wa nyuzi nyingine wakituonaga wazee wa Night Vision itakua tunaonekana loosers kinoma.