JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

hiyo watakua active member tu wengine muendelee kulala
emoji38.png
emoji38.png
Niko hapa zambezi ubungo ..karibu
 
Labda wajishtukie..mfn mie saa hz niko hapa zambezi ubungo..km unaeza kuja njoo tu ..tulianzishe
Oya nimepita hapo sio muda dah. Maisha aya. Nimeamua kuondoka ile kuongozana nae ananileta huku upande wa riverside hall kwenye uchochoro flani katangulia mi nikaamsha atakua anafika anageuka hamna mtu. Starehe ya dk 5 isinitoe mchezoni aisee.
 
Back
Top Bottom