Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
baridi halizoelekiKawaida tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
baridi halizoelekiKawaida tu
Umsalimie bosi wako, ujumbe ni utavuna ulichopanda 😅Muda gani mtanisamehe kwa kila kitu, nisubirie![]()
![]()
Ngoja nikaidiwnloadReleased
Bora baridi kuliko joto mkuu.baridi halizoeleki
kama semaji la team bilioneas nasema tusichaguliane silaha kwenye vita wala hakuna kukimbilia polisivUmsalimie bosi wako, ujumbe ni utavuna ulichopanda 😅
Binafsi bora joto.Bora baridi kuliko joto mkuu.
Kwani hii thread ni kukesha tu?
Hapana kujichukulia sheria mkononi, ruksa kung'ata na kukimbia ukizidiwa.kama semaji la team bilioneas nasema tusichaguliane silaha kwenye vita wala hakuna kukimbilia polisiv
biita ni bita mang'anaHapana kujichukulia sheria mkononi, ruksa kung'ata na kukimbia ukizidiwa.
Joto ni tabu manBinafsi bora joto.
Hii ni special kwa kukesha,wale wanaochelewa sana kulala na wale ambao wako night shift.
Joto kuna namna ya kuliondosha ila baridi ni hatari zaidi.Joto ni tabu man
Mtu wa system salute 😅biita ni bita mang'ana
ukinirushia ak 47 nakurushia BM au 14![]()
![]()
![]()