JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Huyo fake wat wat ndo wanamuita tajiri humu....

Jaman vijana humu ndani hovyo sana ujue eeeeh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

ni tajir kwelii huwa anamkopesh shadow wangu pesa ya kulipia kodi kama akiishiwa.. ndio maan huwez kuona shadow akimpinga kwa lolote[emoji23][emoji23][emoji23] mpka mahusiaon yangu kayaweka kiganjani sina amani kabisaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ Weeeeeh hilo ndo najua sasa aiseeeee..
Kumbe tupo na watu hatari humu..

Ngoja kesho nikaonane nae.
Fake P kesho itabidi nije tuu hata kama ni siku ya mapumziko ila tavaa yale mabuti tajiri πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Humu watu na pesa zetu Mkuu ndio maana tupo humu atukosi bando Mkuu πŸ˜‚πŸ˜ matajiri hatukosagi bando
 
utaona kazi nitayofanyia huku
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
unavihurumia?
Tajiri bana...πŸ˜‚πŸ˜‚
Sawa mimi taleta tajiri huna baya kabisa πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
 
🀣🀣🀣🀣 nimeona win anajiachia kweli!! Halafu nimeona mnamsema pacha wangu mabakuli na crew yako πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hapana sio mie..
Ni yeye anakaa kwa kujificha ananisema mimi kwa wizo..
Kama unavyojua wizo nae hana dogo kanimwagia maneno hayo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Back
Top Bottom