To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
Ubarikiwe sananina kastory cha kijinga sana, tangia hapo kila kitu nakiacha hapa hapa![]()
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ubarikiwe sananina kastory cha kijinga sana, tangia hapo kila kitu nakiacha hapa hapa![]()
Usiku mwema mkuu....maana hatujui ya kesho kama umeweza gombana na rafiki itashindikana vp kesho kugombana na rafiki mimi....Mungu atusaidie wana jf siye tunapita tu.Mimi mtu poa sana wewe mwenyewe unajua my wangu 😘
Siwezi kugombana na mchumba wangu ❤️ na yule sio rafiki yangu nakuheshimu sana wewe ni rafiki mzuri sana na pia ni ex wangu I love youUsiku mwema mkuu....maana hatujui ya kesho kama umeweza gombana na rafiki itashindikana vp kesho kugombana na rafiki mimi....Mungu atusaidie wana jf siye tunapita tu.
Msalimie mwanangu🥴Haya kwaherini ndugu zangu
lala usijepata makunyanzi usingizi muhimu sanaUsichoke kuniota mkuu...ulale salama...ngoja nipumzishe mwili tutaijadili kesho hiyo ndoto mkuu 🙏🏽🙏🏽
Mukubwa 😁😂Wenye kazi yetu ya ulinzi tuko lindo
Natumika kwa kazi saa hii..natunza aman kwa avenue ya ku mlangoMukubwa 😁😂