JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Mimi Huwa sivifanyii mambo mengi napikaga kiswahili
MAHITAJI
Viazi vitamu
Iriki iliyosagwa
Nazi pakti 1
Chumvi
JINSI YA KUPIKA
Menya Viazi kata vipande unavyopenda

Osha vizuri,weka kwenye ye sufuria weka majji hakikisha majji hayazid wingiwa viaz

Weka chumvi kidogo na iriki
Bandika jikoni acha vichemke Hadi maji yakauke
Weka Tui la Nazi acha ichemke vizuri
Ipua tayar Kwa kula
NB usigeuze geuze na mwiko vitapondeka
Poor Brain
 
Sasa Mjep mambo unayofanya.
Unafanya niwe na wasi wasi na wewe na najua kabisa wewe sio mtu wa hovyo ila sasa unanipa wasi wasi
😂😂😂😂😂😂
Mimi siyo mtu wa hovyo kabisa chief
Ila uji nitamfundisha Aaliyyah kupika

Wewe tafuta wa kukufundisha
Mimi nimechagua mafunzo yangu ya uji ni kwa Aaliyyah

Wewe muombe hata Winnone akufundishe na yeye anajua
 
Back
Top Bottom