ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 14,949
- 54,485
Ni Portion 8 nimechanganyaPortion 18? Story ipi hiyo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni Portion 8 nimechanganyaPortion 18? Story ipi hiyo?
😎😎😎😎Ni Portion 8 nimechanganya
😳 yupi? Yule? Amekuruhusu? Wee...usinichomeke mwenzio🤣🤣Usiogope
Ameniruhusu niongeze mwenzie
🤣🤣🤣💋😳😳 wapi na nani?🙄
Asante.Sawa usijali, Ngoja nikitulia
Mimi Huwa sivifanyii mambo mengi napikaga kiswahili
MAHITAJI
Viazi vitamu
Iriki iliyosagwa
Nazi pakti 1
Chumvi
JINSI YA KUPIKA
Menya Viazi kata vipande unavyopenda
Osha vizuri,weka kwenye ye sufuria weka majji hakikisha majji hayazid wingiwa viaz
Weka chumvi kidogo na iriki
Bandika jikoni acha vichemke Hadi maji yakauke
Weka Tui la Nazi acha ichemke vizuri
Ipua tayar Kwa kula
NB usigeuze geuze na mwiko vitapondeka
Poor Brain
Uji Sina utaalam nao ila nachojua unapikwa kawaida tu japo hautakiw ukoroge kwenye maji yakipata joto sanaAnalyse
Intelligent businessman
Aaliyyah
Hapa bado uji wa muhogo naona kama unanishinda hvi yaan unapanda juu kama maziwa 🙌🙌🙌🙌😂😂😂😂😂😂
Yaaani umenisumbua hapa mpaka sio poa ila nishamalizaUji Sina utaalam nao ila nachojua unapikwa kawaida tu japo hautakiw ukoroge kwenye maji yakipata joto sana
Viungo pilipili manga
Ukoroge unga kwenye maji baridi ndio uweke jikoni na ukoroge had uchemke usipofanya hivo unakuwa na mabongeYaaani umenisumbua hapa mpaka sio poa ila nishamaliza
Yaaah nimefanya hivo hivo an nimekologea maji baridi...Ukoroge unga kwenye maji baridi ndio uweke jikoni na ukoroge had uchemke usipofanya hivo unakuwa na mabonge
NitakufundishaUji Sina utaalam nao ila nachojua unapikwa kawaida tu japo hautakiw ukoroge kwenye maji yakipata joto sana
Viungo pilipili manga
Kwanini usianze na mimi ndo source mkuu 😂😂😂😂😂😂😂Nitakufundisha
HapanaKwanini usianze na mimi ndo source mkuu 😂😂😂😂😂😂😂
Sasa Mjep mambo unayofanya.
Mimi siyo mtu wa hovyo kabisa chiefSasa Mjep mambo unayofanya.
Unafanya niwe na wasi wasi na wewe na najua kabisa wewe sio mtu wa hovyo ila sasa unanipa wasi wasi
😂😂😂😂😂😂
Winnone we jinsia gani
Mbona kama x wangu Winnie.