KabisaUnajua kumbe😂😂
Tena vizuri sanaaa
Nitakufundisha na utafurahi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KabisaUnajua kumbe😂😂
Uji wa muhogo hauwagi mzito km wa sembe a usithubutu kunywa haujapoa😂😂😂Yaaah nimefanya hivo hivo an nimekologea maji baridi...
Ila ni mwepesi sana sijui shida nini
Wala usiteseke auntUnakuja darasani 😂😂 au mm ndo Nije darasani
Sawa nitakuja KujifunzaKabisa
Tena vizuri sanaaa
Nitakufundisha na utafurahi
Kujifunza nini?Sawa nitakuja Kujifunza
😃Kupika ujiKujifunza nini?
Weee mbona kama ulikua unaniona navyosumbuka na vikombe viwili viwli...Uji wa muhogo hauwagi mzito km wa sembe a usithubutu kunywa haujapoa😂😂😂
😂😂😂Nilijifanya kiherehere sikumoja unakuwa km umepoa ukiweka mdomoni Sasa😂😂😂Weee mbona kama ulikua unaniona navyosumbuka na vikombe viwili viwli...
😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌
Yaaan nimetia huruma leo taratibu nikachukua kikombe kidgo cha chupu nikaanza kupoza 😂😂😂😂😂😂😂😂Nilijifanya kiherehere sikumoja unakuwa km umepoa ukiweka mdomoni Sasa😂😂😂
😂😂😂Yaaan nimetia huruma leo taratibu nikachukua kikombe kidgo cha chupu nikaanza kupoza 😂😂😂😂😂
Famasikhala nini wewe
Babe ngoja nikamalizie taraweh. Nimeshiba hapa.unauhakika umefuturu leo jion[emoji38]??