Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AmenMlale salama....Damu ya yesu iwafunike🙏🏽
Kila la kheri USIngiziniMlale salama....Damu ya yesu iwafunike🙏🏽
kwenye usomaji tungalikua tunaambiana hivi tu wallah hakuna ambaye angekua anasoma vitabu.😃😃😃😃Ndo Mana naku ambia kamsome clause 🤒
nipe mbinu chaliangu😂😂😂😂Binu mbinu bana weeeeh
Amen 🙏🏽Asante sanaKula la kheri USIngizini
Kwanini 😆kwenye usomaji tungalikua tunaambiana hivi tu wallah hakuna ambaye angekua anasoma vitabu.😃😃😃😃
lala tu huu ni uchawiKaribuni natoa kitu hapa View attachment 2958324
We njaa una ijua kweli 😆, Kuna siku nime pika saa 10 usiku🤣lala tu huu ni uchawi
Hapo bablai tuma kwanza ramani ya om kwenyuunipe mbinu chaliangu
😁🤣 Naskiliziaa nyama hapo Mkuu nataka kutoa nyama mchuzi nipige daku la usiku mzitolala tu huu ni uchawi
Anaona Kama nafanya utani vilee njaa ikikuuuma usiku lazima upike aisee usiku njaa zinauma sana yaaniWe njaa una ijua kweli 😆, Kuna siku nime pika saa 10 usiku🤣
kumbe unajua kilugha chetuHapo bablai tuma kwanza ramani ya om kwenyuu
no excitement, baadae nitakuonyesha kitu 😃😃😃😃Kwanini 😆
kumbe kuna congoman waislamu😁🤣 Naskiliziaa nyama hapo Mkuu nataka kutoa nyama mchuzi nipige daku la usiku mzito
kila mtuJamani ni kwangu tu, au nanyi hili dude Mna liona??
View attachment 2958328