JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

sasa je mambo si ndo hayo 😊😊
Sikwenda Mimi at first, moja ya marafiki zangu wa kike went to praise her kuhusu uzuri na kupendeza kwake

Then akasema ana kaka angependa amwone, ili amshawishi kwa mambo mawili.
La kwanza apate mtoto mzuri, second abaya 😊😀
 
Vincenzo Jr sorry about that shit about your mother, I apologize kwa Hilo coz naelewa umuhimu wa wazazi.

But at the same time, my soul tells me Kama uli deserve hivi 🤒.
So acha ni flash Hilo la mama kwanza,

Everyone nime apologize kwa Hilo la kusema vibaya mother ake To yeye, Mad Max, Shadow7, Fake P, mshamba_hachekwi, Mpaji Mungu

At last Shimba ya Buyenze alisema kitu kizuri mno🙏
Kaka tusameane sisi ni binadamu kaka hili limepita kaka wewe ni rafiki yangu kaka
Once a bro always a bro. This is excellent! Thank you bros 👏👏👏
 
Back
Top Bottom