JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Bro kisicho niua, Kita nikomaza kiaskari.
So uki nichukia, Ina dhihirisha mi mkali
Na sasa ukitaka bato na mimi jezi utavua,
Kwakua ulipewa viatu na mechi ukazingua.

Hauna pesa ya kukidhi kabisa,
Sauti yako ya kichovu haipongi katiba..

Ukichelewa jibu mistari nitakungojea,
Nikikosa kukupiga ngumi tafuta pakuegemea..
 
Back
Top Bottom