Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
Weee bishoo tuu...๐๐๐ unanpga mikwara ata kama bishoo uhuni nauweza kuliko ubishoo๐
๐๐๐๐๐
Ngoja ukutane na kina poor panya wa jela
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weee bishoo tuu...๐๐๐ unanpga mikwara ata kama bishoo uhuni nauweza kuliko ubishoo๐
Lunyaa labda kutamba tu, ila mwepesi ka karatasi ya choonikwann mkuu au anatak alete ubishani wa naNi mkali๐
ile nyimbo ni mbofu kama simbana huwa napita tu, Sina time nayo.
๐๐ m muhuni wwWeee bishoo tuu...
๐๐๐๐๐
Ngoja ukutane na kina poor panya wa jela
Oyaaa kuna dogo alijinyea ๐๐๐๐๐๐aloooh๐๐
Muundo umegoma fanya mapigo na mwendoHali ya hewa hii mama ๐๐๐๐
Umekimbia michano kuku wewe ๐๐๐๐๐๐๐๐We uki taka kunywa Serengeti, ila maisha safari
ile kitu ata kuigusa staki kbsa ๐๐ nsije nkaanza kukimbia bila sababuOyaaa kuna dogo alijinyea ๐๐๐๐๐๐
Uki shindwa kuni tafsiri, we relax labda uta nielewa Mwakani.Umeongea kinini hiiki
lunya ni trash kama takataka ana swaga tuLunyaa labda kutamba tu, ila mwepesi ka karatasi ya chooni
Lete mistari pimbi mmojaUmekimbia michano kuku wewe ๐๐๐๐๐๐๐๐
naweza kukupaka machupa kwa mgongo wa futaUki shindwa kuni tafsiri, we relax labda uta nielewa Mwakani.
Mi nna kuacha kana kwamba skujui,Uki shindwa kuni tafsiri, we relax labda uta nielewa Mwakani.
Nipande mnazi ๐ญ?Muundo umegoma fanya mapigo na mwendo
01:30
Haina kwere arifu, mi bado natalizi kiroho safimi naomba niwatakieni usiku mwema famila yangu ngoja niutafute usngzi sasa wakubwa zangu
Bro kisicho niua, Kita nikomaza kiaskari.Mi nna kuacha kana kwamba skujui,
Alafu bado unanighasi hauhisi kama unautaka uadui..๐๐๐
pamoja kaka mkubwa๐Haina kwere arifu, mi bado natalizi kiroho safi
Unanikera kiasi hautambui hali ya sasa, isitoshe jana nimepiga kazi kibaba.Lete mistari pimbi mmoja
Na sasa ukitaka bato na mimi jezi utavua,Bro kisicho niua, Kita nikomaza kiaskari.
So uki nichukia, Ina dhihirisha mi mkali