Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Lindo lime fungwa rasmi na jobless pro max, ohh sorry it is Future billionaire
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uwe kwenye detail moja ya shabaha na nanga anafungua usalama nusu anaanza kupiga ye mweeeee😎😎😎😎😎01:35
Fungua usalama mpaka mwisho 😎
Leo nitakua pale Mlalakua JKT kuwaona jamaa na marafikiUwe kwenye detail moja ya shabaha na nanga anafungua usalama nusu anaanza kupiga ye mweeeee😎😎😎😎😎
Hivi iko wapi hio mlalakuaLeo nitakua pale Mlalakua JKT kuwaona jamaa na marafiki
Hahahahaha iko mlalakua , we usiniambie hujui HQ ya National Service ilipokuq kabla ya kuhamishiwa DodomaHivi iko wapi hio mlalakua
Niliona cha mno nini 🏃😂Wewee hata u kuruti Huku maliza mafunzo😀🤣
Haha kuruti waoga sanaUwe kwenye detail moja ya shabaha na nanga anafungua usalama nusu anaanza kupiga ye mweeeee😎😎😎😎😎
Ukitaka kufanikiwa lazima uwe mtu wa kuchukua risksAhh sitaki, huko kulambishana udongo ni kugusa tu😀😂
Tafadhali yasiwe ma-abaya ya KariakooMzee matusi Sasa hayo 😀😂, sema ita kuwa safi.
Nita mnunulia abaya nzuri Sana, Eti financial services una vaa abaya😀😂
Hivi huwa ni kuruti au private ?Haha kuruti waoga sana
😂😂😂😂😂😂 mchanganye aduiHahahahaha iko mlalakua , we usiniambie hujui HQ ya National Service ilipokuq kabla ya kuhamishiwa Dodoma
Hahahahaha..sawa sawa😂😂😂😂😂😂 mchanganye adui
Uwoga? kuna ambaye haogopi kurutu mausingizi akiweka rapid?😂😂😂😂😂😂Haha kuruti waoga sana
Wote tu waogaHivi huwa ni kuruti au private ?
😂😂😂Uwoga? kuna ambaye haogopi kurutu mausingizi akiweka rapid?😂😂😂😂😂😂
Tuta agizaa kutoka Thailand Sasa😀😂Tafadhali yasiwe ma-abaya ya Kariakoo
Vyema umuagizie moja Kwa Moja kutoka Dubai 😜
wenzio Wana pikwa kwenye pipa, we Kama waweza mi nitakuwa mpiga Sera wako😀Ukitaka kufanikiwa lazima uwe mtu wa kuchukua risks
Jitose Mkuu ukachukue Jimbo la King Msukuma 😜
That's nice, sio yale ukifua mara mbili unakuta yameshapauka 😅Tuta agizaa kutoka Thailand Sasa😀😂