Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
naona ulienda kuvuna madini mkuuHampoi wadau
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
naona ulienda kuvuna madini mkuuHampoi wadau
Nawe pia mkuuMlale salama ndugu
Wala, nilikosa vocha tunaona ulienda kuvuna madini mkuu
asante sana mkuu kwa ushauri mzuri kuna huyu mwanangu wa miaka 10 nampenda sana yaaniAnza kuwawekea misingi na vyanzo kuanzia sahv mzee nafas bado unayo
🤣🤣🤣🤣 basi ndiyo maana tunadumaa hatukui…hakika twapitia mengi mno …khaa🙌
Nilienda kulia kidogo, kwahiyo mniache tuNgoja nipige kitabu bas niachane na mapenzi maana nateseka nayo ila nakomaa maana moyo tena😏🙄
polee sana mukubwa ungekuwa kigamboni hapa ungekuja mtaani kwangu ukeshe na wifi kila sikuWala, nilikosa vocha tu
Sikia anza kumfungulia acc km unampenda uwe unsave pesa humo itayomsaidia kuja kusoma shule/chuo kizuri badae lkn pia inaeza kua km mtaji kwake wa kuanza maisha km mambo ya shule yakimuendea vbayaasante sana mkuu kwa ushauri mzuri kuna huyu mwanangu wa miaka 10 nampenda sana yaani
wewe uliwaleta waishije?11:52 nawaza siku nikifa sijui wanangu wataishije duniani
JF Katika ubora wakepolee sana mukubwa ungekuwa kigamboni hapa ungekuja mtaani kwangu ukeshe na wifi kila siku
ngoja nifanye mipango maana naweza nikavuta siku siyo nyingiSikia anza kumfungulia acc km unampenda uwe unsave pesa humo itayomsaidia kuja kusoma shule/chuo kizuri badae lkn pia inaeza kua km mtaji kwake wa kuanza maisha km mambo ya shule yakimuendea vbaya
njoo kigamboni mtaa wa cheka nyumba no 10 utanikuta mie chazJF Katika ubora wake
Yaaa fany kweli ukishndwa hyo fungua hata kabiashara tu watachoweza kurithi na kuendelezangoja nifanye mipango maana naweza nikavuta siku siyo nyingi
Nije nifanyejenjoo kigamboni mtaa wa cheka nyumba no 10 utanikuta mie chaz
P katika ubora wakoJF Katika ubora wake
wawe watu makini na wenye misimamowewe uliwaleta waishije?
Wachaga wakijua unajiita mshamba utanyimwa kila kitu hadi kisusioP katika ubora wako