100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 4,766
- 16,191
sasa huyu wezi wakija wana nyakua hio bunduki wanampiga na kuiba...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
haahahahhaha anasubiri kukuche kwa hamuKatika pita pita zangu za hapa na pale.
View attachment 3032937
ilibidi nim snap, sasa unge kuwepo alikua ana koroma tu kama gari... 🤣Amelegeza mwili. Akili. Hadi buti. Eneo la ulinzi yupo half Kombati
sidhani kama hayo yalikua ni maji, itakuwa vibe... si unajua vijana tena.h
haahahahhaha anasubiri kukuche kwa hamu
Tupo mkuutuliopo lindo tujuane.......!
tupo good tuHajambo wazee wa lindo 😀😀
Uko sahihi kabisa mkuu,kuna siku nilikuwa pale Maunganui,Nana hotel...... nikalala saa 12 jioni hivi,kushtuka nikajua asubuhi kumbe saa tano usikuJamani Zanzibar mbona masaa hayaendi.yaani kulala kote huku ndo kwanza saa 00:12 mna nia Gani jamani.