JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

jana nimekesha mdaa huu ndo naamka aisee na bado sijatoka kitandani ujobless ni mzigo saa 15: 13
 
00:28
watu wa lindo muwe siriaz hakuna kulala leo
lindo.jpg
 
Jamani Zanzibar mbona masaa hayaendi.yaani kulala kote huku ndo kwanza saa 00:12 mna nia Gani jamani.
Uko sahihi kabisa mkuu,kuna siku nilikuwa pale Maunganui,Nana hotel...... nikalala saa 12 jioni hivi,kushtuka nikajua asubuhi kumbe saa tano usiku
 
Back
Top Bottom