JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Naogopa kufa kwasababu wanaokufa wote huwa wanalalamika kwa maumivu makali wakiwa mwishoni na wengine kutetemeka, wengine wanatoa machozi kabla hawajafariki
Naogopa kufa na huwa nafanya vitu nikiamini nina siku chache za kuishi hivyo sifanyi vitu kwa ufanisi
 
Back
Top Bottom