JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Ila ulikua una vibe, ukiingia lazima ucheke
Siyo wetu, ngoja kuna uzi unanitukana tu. Tena matusi ya nguoni. Nikajua umefutwa kumbe bado, mods wanafuta matusi tu. Ule wetu uongozi walisema, hakutakuwa tena na nyuzi za aina ile za vocha. Zinaleta malumbano. Watu wanazireport sana. Mimi sikutaka ufungwe, ila nilipoambiwa sikuwa na jinsi.
 
Eeeh! Kumbe walikua wanaureport sanaa
Upi huo uliofungwa
 
Siyo wetu, ngoja kuna uzi unanitukana tu. Tena matusi ya nguoni. Nikajua umefutwa kumbe bado, mods wanafuta matusi tu. Ule wetu uongozi walisema, hakutakuwa tena na nyuzi za aina ile za vocha. Zinaleta malumbano. Watu wanazireport sana. Mimi sikutaka ufungwe, ila nilipoambiwa sikuwa na jinsi.
Sababu ya malumbano ,huwa ni nini haswa? Mbona ni uzi wa kawaida tu ?
 
Back
Top Bottom