secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 2,998
- 4,948
Leo nimenyimwa papuchi, ety wife anasema nakamia sana show mpaka basss. Niko macho na muda hauendi.0042
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo nimenyimwa papuchi, ety wife anasema nakamia sana show mpaka basss. Niko macho na muda hauendi.0042
Nimenyimwa CHINI na wife na nilikuwa nimeshampakaza bwana mjusi mkongo, sijui itakuwajePapuchi? Chakula au?
Pole mkuu, muda na wakati hupita....hili wiki liishe tu napitia wakati mgumu sana kichwani kupata usingizi ni kazi sana
Kweli wewe ni mwamba wa usiku wa manane ..😂
shukrani mkuu hii wiki nzima napata usingiz asubuh tabu kweli niliwaza ninunue vidonge vya usingiziPole mkuu, muda na wakati hupita....
Dunia Ina mambo mengi sana,
Ooh no, Amitriptyline ukianza hutoacha.. unless ni kitu serious sana . Ila kama ni jambo la wiki au miez tu sio issue ....shukrani mkuu hii wiki nzima napata usingiz asubuh tabu kweli niliwaza ninunue vidonge vya usingizi
probationquestions0012 West Africa kipande cha Abidjan
nakubariana na wewe mkuu mambo yatakaa sawa...Ooh no, Amitriptyline ukianza hutoacha.. unless ni kitu serious sana . Ila kama ni jambo la wiki au miez tu sio issue ....
Hakuna binadam asieptia changamoto... Kuna wakati vingine inabidi ukubali matokeo usonge mbele kama injili..