JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

01:44 Tuingie lindo sasa
 

Attachments

  • 20240907_013801.jpg
    20240907_013801.jpg
    1.3 MB · Views: 2
shukrani mkuu hii wiki nzima napata usingiz asubuh tabu kweli niliwaza ninunue vidonge vya usingizi
Ooh no, Amitriptyline ukianza hutoacha.. unless ni kitu serious sana . Ila kama ni jambo la wiki au miez tu sio issue ....

Hakuna binadam asieptia changamoto... Kuna wakati vingine inabidi ukubali matokeo usonge mbele kama injili...
 
Back
Top Bottom