JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Asanteni na poleni kwa usumbufu..
Mad Max nachoamini mimi huyo demu uko nae for 4 years.. Ila sio wa kwanza kwako, utapata mwingine. Kama binadamu Tambua kuwa lenye mwanzo Lina mwisho, ni muhimu kujua hili ili wakati unapofika usiweweseke. As a man just move on na mtoe akilini mwako na ufocus na mambo mengine. Ukimuweka akilini atakutesa sana, najua sio rahisi Kama navoeleza Ila Komaa utoke huko.
 
Anajua sina pa kwenda na yeye cake ndio maana anafanya ivo. Like anajua hawezi pitisha 1 day hajatongozwa..
 
Tutalala mbinguni..

PXL_20240912_214114849.jpg
 
Back
Top Bottom