JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Leo mbu sana
Ukijipaka lotion hii inasaidia sana, mmbu hawapatani nayo kabisa
15803.jpg
 
Iko hivi hapo sehemu ya kuandikiaaa mkuu kwa juu huwa kuna idadi ya wasomaji wa uzi sasa wewe unawaona??
Af kweli me mwenyewe sioni. Naona kama kuna maandishi kwa juu yameongezeka sijui yana maana gani "As Code here"

Nilizoea kuona watu waliopo ila saivi sioni uzuri wa Thread yangu hii pendwa.

Maxence Melo mbona hivyo Mkuu?
 
Back
Top Bottom