JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Hahaha, majukumu yali kuwa mengi, lakini pia nili pata ajali kidogo.

Ila I'm back kaka, Kuna siku nili muona favorite girl wako g. Dimack nika kukumbuka 😂😃
naelewa harakati kaka na pole pia kwa ajali.

Dimack nishawahi muona one time kwa hiyo hongera pia kwa kusafisha macho. Ngoja nikuache nipumzishe hichi kichwa

Nimefurahi sana kukuona brother, tutaongea zaidi kesho mkuu.

Lindo jema
 
Back
Top Bottom