Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Hahaha, majukumu yali kuwa mengi, lakini pia nili pata ajali kidogo.siku nyingi sana kaka. Nipo sleepy ile mbaya ila lazma nikuulize ulitorokea wapi au kuna new ID 😁
Ila I'm back kaka, Kuna siku nili muona favorite girl wako g. Dimack nika kukumbuka 😂😃