mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
Kwanini ulewe mrembo wangu, huogopi kurosti figo?Nilikua nimelewa. Kwann ulisubiri nilewe ndio uniambie😌😌
Haya nitumie, niko hapa nasubiri.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini ulewe mrembo wangu, huogopi kurosti figo?Nilikua nimelewa. Kwann ulisubiri nilewe ndio uniambie😌😌
naam kidumu chama Cha ma jobless pro max .
anasomesha huyo, sio jobless
Je habari hizi ni za kweli? Unalamba asali Intelligent businessman RAIS WA MAJOBLESS PROMAXanasomesha huyo, sio jobless
Nakumbuka mara ya mwisho ulikua ni mwanangu. Ishi hapo🤔 Figo inawapiga hata nyie wanywajii wa maji na pepsiKwa ulewe mrembo wangu, huogopi kurosti figo?
Haya nitumie, niko hapa nasubiri.
Halafu em yake ni 1.5, halafu Ile siku ali spend 150 k that ain't usual for me.🤣umepiga panapouma
Una mwamini mtu Baki, badala ya raisi wako😂🤣.Je habari hizi ni za kweli? Unalamba asali Intelligent businessman RAIS WA MAJOBLESS PROMAX
Nakumbuka ulisema mimi ni mwanao wa faida(friend with benefits)😉Nakumbuka mara ya mwisho ulikua ni mwanangu. Ishi hapo🤔 Figo inawapiga hata nyie wanywajii wa maji na pepsi
Wacha kuharibu imani za wanachama, I have been a jobless for a long period of time.anasomesha huyo, sio jobless
Ndio sababu nimeuliza Mh. RAIS 😂Una mwamini mtu Baki, badala ya raisi wako😂🤣.
niki okota okota, naheshimisha jina la familia.
japo sisi ni ma jobless pro max, ila uki pata change invest na saidia familia kwanza.Ndio sababu nimeuliza Mh. RAIS 😂
Ningekuwa nimwamini ningeitisha press conference haraka sana Mh Rais wa majobless promax
Ewe mwanachama una zurura baa, akati mchango wa chama huja toa 😂🤣00:56
Inasoma Kwa Bubu! Kuku hakuna.
Niende Bambalaga tu nikashange shangae
Au niende kisasa sheli
Ushauri wa RAIS WA MAJOBLESS PROMAX ni Sheriajapo sisi ni ma jobless pro max, ila uki pata change invest na saidia familia kwanza.
It may not be sum, ila angalau andaa tafrija ya chakula.
Family is important ❤️ ❤️.
Mh Rais wa majobless promax ninatafuta mchango sizuruliiiEwe mwanachama una zurura baa, akati mchango wa chama huja toa 😂🤣
Though my will is your command, but just know I'm just a mere human being.Ushauri wa RAIS WA MAJOBLESS PROMAX ni Sheria
Your will is our command
Ehh kijana jobless una enda kulala regency, kweli mafisadi ni wengi😂🤣Mh Rais wa majobless promax ninatafuta mchango sizuruliii
Kuna hotel Moja upo kule kisasa sheli inaitwa siku rejensi sijui Nini ndo nataka nikafanye kikao cha uwenezi kwa ajili ya chama
Tunasikiliza!Though my will is your command, but just know I'm just a mere human being.
think twice, before taking action on what I say or order you guys to do.
Kidumu chama Cha ma jobless pro max, adumu mwenyekiti na raisi wa ma jobless pro max.Tunasikiliza!
Tunapima!
Tunafakari kwa kina!
Tunachuja
Ndipo tunatoa maamuzi Mh Rais wa majobless promax
Hivyo kwa ulilosema ni JEMA sana hatuna budi kulikubali