Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
02:01
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Saa 10:35☹️Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa usingizi.
Muda wa jukwaa ni kuanzia saa 6 usiku mpaka 11 asubuhi. Mimi hapa leo tangu nimeamka nimeamua KUFANYA IBADA Tuuuu!
Wee jamaa utakuwaga mlinz c bure00:56
Mimi ni raisi wa ma jobless pro max, halafu mlinzi wa asubui na mchana ehh🤣Wee jamaa utakuwaga mlinz c bure
ila uko sawa, mi ni mlinzi wa maisha yangu na familia yetu.Wee jamaa utakuwaga mlinz c bure