JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Wewe si toka kabsa wewe una kunywa jack Daniel royal village dodoma kwa laki moja alafu ujiite jobless AFu wewe s daktari kabsa🤣tena una miaka 14 kwenye game
Kumbe nikishalewa huwa ndio nawadanganyaga hivyo? Wewe wap ulishaona dunia nzima daktari anashinda JamiiForums au kwenye mitandao ya kijamii yoyote?
 
Wewe si toka kabsa wewe una kunywa jack Daniel royal village dodoma kwa laki moja alafu ujiite jobless AFu wewe s daktari kabsa🤣tena una miaka 14 kwenye game
Shutuma hizi ni kubwa Sanaa Mh. Makamu Bolotoba

Mnanipa wakati mgumu sana Mimi msemaji wa CHAMA hiki 😂

Naomba mh. Rais wa majobless promax Intelligent businessman ulitoleee swala hili ufafanuzi, shutuma hizi dhidi ya katibu wa CHAMA min -me ni nzito 😂😂

Au mnalamba asali na hatujui 😂
 
Hizo tuhuma nazikana mbele ya mahakama kwa kifungu cha 19 cha sheria ya mwaka 1999 ibara ya 10 b kinachosema .

Hakuna mtu mwenye kazi yupo mitandaoni kwa mda wa masaa16 mfululizo.
 
Shutuma hizi ni kubwa Sanaa Mh. Makamu Bolotoba

Mnanipa wakati mgumu sana Mimi msemaji wa CHAMA hiki 😂

Naomba mh. Rais wa majobless promax Intelligent businessman ulitoleee swala hili ufafanuzi, shutuma hizi dhidi ya katibu wa CHAMA min -me ni nzito 😂😂

Au mnalamba asali na hatujui 😂
mimi Kama raisi wa ma jobless pro max, nakemea shutuma hizo.

narudia wanachama hawana hela, hivyo katibu min -me aendelee na majukumu mengine
 
Shutuma hizi ni kubwa Sanaa Mh. Makamu Bolotoba

Mnanipa wakati mgumu sana Mimi msemaji wa CHAMA hiki 😂

Naomba mh. Rais wa majobless promax Intelligent businessman ulitoleee swala hili ufafanuzi, shutuma hizi dhidi ya katibu wa CHAMA min -me ni nzito 😂😂

Au mnalamba asali na hatujui 😂
Msemaji Huyu min -me analamba asali ya ukunga /mildwife sio mwenzetu
 
Mbona siwaelewi Rais Intelligent businessman na Makamu wa Rasi Bolotoba, Mimi semaji nimuwamini nani?

Je makamu wa RAIS anasema kweli na hii Pengine inatupa picha katibu mkuu min -me amelamba asali kiasi cha kulambisha mpk Rais? 🤣

Naomba madai haya yawe na ushahidi Mh. Makamu wa Rais 😂

Mnanipa wakati mgumu sana kukisemea chama 😂
 
Yupo vyede mkuu🤣mimi huu mwaka tano sijaweza kujaribu kuuliza Ata bei ya mitungi mkubwa wa gesi
 
Back
Top Bottom