Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
habari za asubui wana jamii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe nikishalewa huwa ndio nawadanganyaga hivyo? Wewe wap ulishaona dunia nzima daktari anashinda JamiiForums au kwenye mitandao ya kijamii yoyote?Wewe si toka kabsa wewe una kunywa jack Daniel royal village dodoma kwa laki moja alafu ujiite jobless AFu wewe s daktari kabsa🤣tena una miaka 14 kwenye game
Shutuma hizi ni kubwa Sanaa Mh. Makamu BolotobaWewe si toka kabsa wewe una kunywa jack Daniel royal village dodoma kwa laki moja alafu ujiite jobless AFu wewe s daktari kabsa🤣tena una miaka 14 kwenye game
Hizo tuhuma nazikana mbele ya mahakama kwa kifungu cha 19 cha sheria ya mwaka 1999 ibara ya 10 b kinachosema .Shutuma hizi ni kubwa Sanaa Mh. Makamu Bolotoba
Mnanipa wakati mgumu sana Mimi msemaji wa CHAMA hiki 😂
Naomba mh. Rais wa majobless promax Intelligent businessman ulitoleee swala hili ufafanuzi, shutuma hizi dhidi ya katibu wa CHAMA min -me ni nzito 😂😂
Au mnalamba asali na hatujui 😂
Una hoja lakini 😂Hizo tuhuma nazikana mbele ya mahakama kwa kifungu cha 19 cha sheria ya mwaka 1999 ibara ya 10 b kinachosema .
Hakuna mtu mwenye kazi yupo mitandaoni kwa mda wa masaa16 mfululizo.
mimi Kama raisi wa ma jobless pro max, nakemea shutuma hizo.Shutuma hizi ni kubwa Sanaa Mh. Makamu Bolotoba
Mnanipa wakati mgumu sana Mimi msemaji wa CHAMA hiki 😂
Naomba mh. Rais wa majobless promax Intelligent businessman ulitoleee swala hili ufafanuzi, shutuma hizi dhidi ya katibu wa CHAMA min -me ni nzito 😂😂
Au mnalamba asali na hatujui 😂
Sawa sawa Mh Rais wa Majobless Promaxmimi Kama raisi wa ma jobless pro max, nakemea shutuma hizo.
narudia wanachama hawana hela, hivyo katibu min -me aendelee na majukumu mengine
Msemaji Huyu min -me analamba asali ya ukunga /mildwife sio mwenzetuShutuma hizi ni kubwa Sanaa Mh. Makamu Bolotoba
Mnanipa wakati mgumu sana Mimi msemaji wa CHAMA hiki 😂
Naomba mh. Rais wa majobless promax Intelligent businessman ulitoleee swala hili ufafanuzi, shutuma hizi dhidi ya katibu wa CHAMA min -me ni nzito 😂😂
Au mnalamba asali na hatujui 😂
Mbona siwaelewi Rais Intelligent businessman na Makamu wa Rasi Bolotoba, Mimi semaji nimuwamini nani?Msemaji Huyu min -me analamba asali ya ukunga /mildwife sio mwenzetu
Yupo vyede mkuu🤣mimi huu mwaka tano sijaweza kujaribu kuuliza Ata bei ya mitungi mkubwa wa gesiMbona siwaelewi Rais Intelligent businessman na Makamu wa Rasi Bolotoba, Mimi semaji nimuwamini nani?
Je makamu wa RAIS anasema kweli na hii Pengine inatupa picha katibu mkuu min -me amelamba asali kiasi cha kulambisha mpk Rais? 🤣
Naomba madai haya yawe na ushahidi Mh. Makamu wa Rais 😂
Mnanipa wakati mgumu sana kukisemea chama 😂
Mimi mnavuruga sanaaa 😂Yupo vyede mkuu🤣mimi huu mwaka tano sijaweza kujaribu kuuliza Ata bei ya mitungi mkubwa wa gesi
Vibarua muhimu mkuu
Kuwa makini na wadudu kama nyoka, ng'e na tandu.Aya jioni tukutane usiku jamvini nipo kibaruani kwa boss nafyeka majani na kupruni miti
Ubarikiwe sansKuwa makini na wadudu kama nyoka, ng'e na tandu.
Kibarua chemaaa
Wapi hukoooNi saa ngapi huko