JamiiForums wabadilisha jina, Sasa kuitwa JamiiAfrica

Tuanze kwa kuboresha content ifananefanane na huo mtazamo wa Afrika tusijejitia aibu kujadili mapenzi kila kukicha, tuelekeze fikra kwenye creative thinking na mambo kama hayo
😂😂😂😂😂😂 Tutaweza sasa
 
Mi naona ni jambo zuli sana nimefurahi kusikia wigo wa jamii forum umetanuka..

KwanZa hii italeta impact kubwa ukijumuisha kuna mashangazi wengi ambao walitamani kupata fursa ya vijana wa kitanzania ila haikua bahati yao.

Ila sasa wataishukuru jf maana rasmi inaenda kuwakutanisha na vijana hao ambao wanajari na kuthamini uwepo waashangazi
 
secretarybird niaje.
 
Twitter ilibadilishwa jina na kuwa X na bado inasumbua mpaka sasa.
 
Hii forum ilitakiwa ibaki kuwa ya Tanzania pekee, lakini kwavile ni ishu ya kibiashara, mwenye biashara yake ndiye mwenye kuamua
 
Itatumika lugha gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…