Umesema unapowavumilia wenzako kwa mapungufu yao na wewe wenzako wanakuvumilia kwa mapungufu yako, ujumbe ni kwamba kwa binadamu hatuko hivyo, ni wachache wenye moyo huo, wengi wao ni wakatili tu hata ukiwa mwema kivipi, nadhani umenielewaFafanua nikuelewe
sorr mr bitoz kama nimekukwaza kwa namna moja au nyingine!Lkn ujue uliyemtaja atakua ameumia sana mkuu
Wewe kama mimi mkuu.Huwezi amini tangu jana naumiza kichwa nimtaje nan wa kupewa BAN nimekosa[emoji1] [emoji23]
Kama itakuwa na umuhimu zaidi wa mtu mmoja Lazima apigwe ban nitajitaja mimi mwenyewe, sababu nauona umuhimu wa kila mtu katika nafasi yake 'peace n lov'
Bado aise ndio kwanza naanza hii ya nanihii ambayo ukimaliza unapewa unanihii wa JFHujamaliza shule 2 ?
Mimi siku nikimaliza masomo yangu ya kutunukiwa uadmin wa Jf nitaanza na wwHuwezi amini tangu jana naumiza kichwa nimtaje nan wa kupewa BAN nimekosa[emoji1] [emoji23]
Kama itakuwa na umuhimu zaidi wa mtu mmoja Lazima apigwe ban nitajitaja mimi mwenyewe, sababu nauona umuhimu wa kila mtu katika nafasi yake 'peace n lov'
If wishes were horse....Jingalao...hili jamaa ni jinga sana
KasheshoNaomba msinitaje tafadhali
Yaani we jamaa sijui mdada nakuchukia wewe bora wasinge ku Unban .unajipendekeza.
swissme
Mungu anakuona hapo ulipo.Yaani we jamaa sijui mdada nakuchukia wewe bora wasinge ku Unban .
Yaani we jamaa sijui mdada nakuchukia wewe bora wasinge ku Unban .