JamiiForums wakitoa ofa ya kumpa ban mtu mmoja, utamban nani?

JamiiForums wakitoa ofa ya kumpa ban mtu mmoja, utamban nani?

Fafanua nikuelewe
Umesema unapowavumilia wenzako kwa mapungufu yao na wewe wenzako wanakuvumilia kwa mapungufu yako, ujumbe ni kwamba kwa binadamu hatuko hivyo, ni wachache wenye moyo huo, wengi wao ni wakatili tu hata ukiwa mwema kivipi, nadhani umenielewa
 
Huwezi amini tangu jana naumiza kichwa nimtaje nan wa kupewa BAN nimekosa[emoji1] [emoji23]
Kama itakuwa na umuhimu zaidi wa mtu mmoja Lazima apigwe ban nitajitaja mimi mwenyewe, sababu nauona umuhimu wa kila mtu katika nafasi yake 'peace n lov'
Wewe kama mimi mkuu.
Naipenda JF, nawapenda members wa JF.
Peace and love
 
Huwezi amini tangu jana naumiza kichwa nimtaje nan wa kupewa BAN nimekosa[emoji1] [emoji23]
Kama itakuwa na umuhimu zaidi wa mtu mmoja Lazima apigwe ban nitajitaja mimi mwenyewe, sababu nauona umuhimu wa kila mtu katika nafasi yake 'peace n lov'
Mimi siku nikimaliza masomo yangu ya kutunukiwa uadmin wa Jf nitaanza na ww
 
Asmaa80
Heaven Sent
Atoto
Honey faith
Valentina
Shunie
Geniverous
ILAHDAFAT NAB EWGIPISAW[emoji118]
 
Back
Top Bottom