bruno castol
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 1,046
- 661
Lizabon
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuuh mbona chuki nzito hivyo mkuu?bitoz.
huyu jamaa namuonea jilaz sana na makapuku forum yake!
yaana ningempiga hata abadili jina vipi anakutana na ban.yaani akitaka kufungua jf tu au akitaka kuingia na user ya mwingine igome.hata akiangalia icon ya jf ipotelee hapo machoni kwake.sitaki ujinga kbs
The whole Lumumba convoy ikiongozwa na LIZABONIkwa mfano uongozi wa jf ukatoa ofa kwa kila member wa jf ampige ban ya wiki mtu mmoja..utampiga ban nani? Aisee mimi ningemdunda ban huyu anajiita cristela...aende akajipange upya.
Wew mtu wa pekee, umevaa viatu vya Musa aliyemkosoa Mungu kuwa hsifai kuangamiza watu wake kwani mataifa watamshangaa...nimependa hivyo.Huwezi amini tangu jana naumiza kichwa nimtaje nan wa kupewa BAN nimekosa[emoji1] [emoji23]
Kama itakuwa na umuhimu zaidi wa mtu mmoja Lazima apigwe ban nitajitaja mimi mwenyewe, sababu nauona umuhimu wa kila mtu katika nafasi yake 'peace n lov'
hivi huo mdomo wako kweli dear?Lizaboni
Aisee kumbe hcho ndo kirefu cha jina lake!!ELizaboni
go on girlWewe
Hapana mkuu atatuvuruga, atuache tu na ukapuku wetuHongera sana kwa kupoteza muda wako kunidiss
...najua huwezi kuwa km mimi
Siku nyingine nitakupa zawadi ya "Uafisa habari wa Makapuku" ili uwe msemaji wangu hapa Jf
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Hahahahaha yaani wewe ni sawa na mtu asiyekula nyama halafu anatembea kwenye mbuga za wanyama wakali kama Simba na nyati halafu ategemee nyati asimdhuru kwa kuwa hali nyama hahahahahaWew mtu wa pekee, umevaa viatu vya Musa aliyemkosoa Mungu kuwa hsifai kuangamiza watu wake kwani mataifa watamshangaa...nimependa hivyo.
ANGALIZO
unapoona wew unawavumilia wengine kwa mapungufu yao
UJUE
wao nao wanakuvumilia kwa udhaifu wako
HEKIMA yako ni upumbavu kwa wengine.
FURAHA yako ni chuki kwa wengine.
HAKUNA HAJA KUCHUKIANA KWA TOFAUTI ZETU
Just kidding man!tufurahi tu tutoe stress nothing elseDuuuh mbona chuki nzito hivyo mkuu?
Amekuudhi nini!
Fafanua nikueleweHahahahaha yaani wewe ni sawa na mtu asiyekula nyama halafu anatembea kwenye mbuga za wanyama wakali kama Simba na nyati halafu ategemee nyati asimdhuru kwa kuwa hali nyama hahahahaha
Lkn ujue uliyemtaja atakua ameumia sana mkuuJust kidding man!tufurahi tu tutoe stress nothing else