JamiiForums wametuweza! Nilikuwa natembelea kama 'guest' tangu 2017

Bhana leo asubuhi nikiwa napitia jukwaa mbalimbali hapa hapa JF nikapata alert kwamba nimebakiza ku-view post 5 kama guest

Nikachukulia mzaha nikaendelea ku-view post mbalimbali ghafla napata ujumbe siwezi tena ku-view kama guest hivyo nifungue account

Bila hiyana nikafanya hivyo, nimekuwa niki-view kama guest tangu 2017. Leo imenilazimu kufungua account
Karibu mgeni+ wageni wengineo, mkiweza piteni piten na kule "Stories of change" msome, muelimike na mpige kura( mkiwiwa).
 
Bhana leo asubuhi nikiwa napitia jukwaa mbalimbali hapa hapa JF nikapata alert kwamba nimebakiza ku-view post 5 kama guest

Nikachukulia mzaha nikaendelea ku-view post mbalimbali ghafla napata ujumbe siwezi tena ku-view kama guest hivyo nifungue account

Bila hiyana nikafanya hivyo, nimekuwa niki-view kama guest tangu 2017. Leo imenilazimu kufungua account
Tupo wengi mkuu hadi mimi
 
Mimi toka 2007 nimeshajaribu kujiunga ikashindikana juzi hapa kiulaini tu nimejiunga.
 
Bhana leo asubuhi nikiwa napitia jukwaa mbalimbali hapa hapa JF nikapata alert kwamba nimebakiza ku-view post 5 kama guest

Nikachukulia mzaha nikaendelea ku-view post mbalimbali ghafla napata ujumbe siwezi tena ku-view kama guest hivyo nifungue account

Bila hiyana nikafanya hivyo, nimekuwa niki-view kama guest tangu 2017. Leo imenilazimu kufungua account
Yan wametuweza aisee
 
Back
Top Bottom