JamiiForums wametuweza! Nilikuwa natembelea kama 'guest' tangu 2017

JamiiForums wametuweza! Nilikuwa natembelea kama 'guest' tangu 2017

Bhana leo asubuhi nikiwa napitia jukwaa mbalimbali hapa hapa JF nikapata alert kwamba nimebakiza ku-view post 5 kama guest

Nikachukulia mzaha nikaendelea ku-view post mbalimbali ghafla napata ujumbe siwezi tena ku-view kama guest hivyo nifungue account

Bila hiyana nikafanya hivyo, nimekuwa niki-view kama guest tangu 2017. Leo imenilazimu kufungua account
Kwa hiyo umechukia?🤔
 
Mimi hakinishangazi mtu kufungiwa kwa sababu hajawa registered kinanishangaza mimi ni mtu unaweza vipi kuingia Jamiiforums kufungua na kusoma mada mbalimbali for more than 5 years then unakosa hata hamu ya kujibu au ku-share chochote kuhusiana na mada unazozisoma?
Watu Wana roho ngumu sana mkuu just imagine MTU kama mwashambwa anasema mama Samia ni mungu halafu huwezi kumjibu unaendelea kuperuz tu..
 
Hahaaa
Nyie ndio wale uzi una views 20k na replies 10. Kumbe wengi mlikua hamna uwezo wa kucommealafu ajabu kama Mimi nlishajarbu kujiunga nikashindwa ilajana baada ya kupigwa pin chap tuu nkaona nimeweza kujiunga Nathan wameweka pia mfumo rahs wakujiunga binafs nimefahiaaa
 
Back
Top Bottom