Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hapa ndo mahala pa kujibizana na wazeeNasikitika sana kupiga stori na watoto wa alf mbili na tano ndo raha ya fake id
HahahahahaSio kweli,, nivile napenda zaidi kusoma kuliko kuandika
Kama kweli mnafanya hivi sidhani kama ni sawa. Kwanini iwe lazima mtu kuwa member ndo aweze kutembelea jukwaa?Hongera na Karibu sana JF.
Poleni sana. Angalau nanyi mshiriki pamoja nasi 😎Tumelazimishwa kutii bila shurti kwa kweli.
Karibu tena.Mie account ilijiblock toka 2014 nikawa na zoom tu kishikaji jana nikaona hiyo msg, hamna budi imebidi nifungue nyingine kwani jf ndio mtandao wangu pendwa.
Barikiwa sana Kiongozi.Poleni sana. Angalau nanyi mshiriki pamoja nasi 😎
We unataka upate nyuzi bure bure tuAweee yaani hapo nitapotea
mazimaaa mkuu maana sisi wengine kuingia majukwaa ya great thinkers na jamii intelligence ni nadra sana
😂😂😂😂We unataka upate nyuzi bure bure tu
Lazma tujiunge kwa nguvu leo wametuweza😂😂😂😂Nilikuwa nikisoma hizi comment nafurahi sana,, leo na mimi nimepata fursa ya kujibu
Sasa kwann ulikuwa hutaki kujiungaNaipenda jamii forum nimefurah kujiunga japo kwa lazma