Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu Sana mkuu.Ulitupia ma picha kwenye Uzi wa warembo Jana kwa bahati mbaya nikaufungua nakaanza kuona vyuma after vyuma😊😊
Pamoja nimezeeka ntakua napitia Mara moja mojaa
Karibu Sana jamviniBhana leo asubuhi nikiwa napitia jukwaa mbalimbali hapa hapa JF nikapata alert kwamba nimebakiza ku-view post 5 kama guest
Nikachukulia mzaha nikaendelea ku-view post mbalimbali ghafla napata ujumbe siwezi tena ku-view kama guest hivyo nifungue account
Bila hiyana nikafanya hivyo, nimekuwa niki-view kama guest tangu 2017. Leo imenilazimu kufungua account
Tupo wengiKwa kweli kimeumana, hata Mimi nimezuiliwa , Leo hii. Imenilazimu kufungua akaunti.
Kweli kaka tupo pamojaTABIA ya kuchungulia Si njema, karibu JF !
tupo wengi kumbe 😄Bhana leo asubuhi nikiwa napitia jukwaa mbalimbali hapa hapa JF nikapata alert kwamba nimebakiza ku-view post 5 kama guest
Nikachukulia mzaha nikaendelea ku-view post mbalimbali ghafla napata ujumbe siwezi tena ku-view kama guest hivyo nifungue account
Bila hiyana nikafanya hivyo, nimekuwa niki-view kama guest tangu 2017. Leo imenilazimu kufungua account
Kupata salio lazima kuumiza kichwa kwa kufikiri
Mpaka hapa nilipofikia sidhani kama kutakuja kuwa na platform nzuri kuzidi hii hapa Tanzania, maana niliona platform kadhaa zikawa hazielewekiii 😂😂😂😊Mie account ilijiblock toka 2014 nikawa na zoom tu kishikaji jana nikaona hiyo msg, hamna budi imebidi nifungue nyingine kwani jf ndio mtandao wangu pendwa.