JamiiForums wametuweza! Nilikuwa natembelea kama 'guest' tangu 2017

Bhana leo asubuhi nikiwa napitia jukwaa mbalimbali hapa hapa JF nikapata alert kwamba nimebakiza ku-view post 5 kama guest

Nikachukulia mzaha nikaendelea ku-view post mbalimbali ghafla napata ujumbe siwezi tena ku-view kama guest hivyo nifungue account

Bila hiyana nikafanya hivyo, nimekuwa niki-view kama guest tangu 2017. Leo imenilazimu kufungua account
No! Jf wasifanye hivyo.
 
S

Sasa we jamaa na wewe bhana wakati ukiview unakuwa na uwanja mpana katika kutumia
 
Back
Top Bottom