JamiiForums wametuweza! Nilikuwa natembelea kama 'guest' tangu 2017

JamiiForums wametuweza! Nilikuwa natembelea kama 'guest' tangu 2017

Hv mnawezaje kutumia jf bila kuwa member, watu km akina Mwashabwa wanaongea ujinga usiweze kuwajibu...
Mimi kwa miaka mingi toka 2008 nilikua naperuzi TU mpaka 2016 ndio nilijiunga rasmi.

Nilijiunga Kama msomaji Tena kipindi hicho utawala wa JPM 😊 nilianza kuchangia Sana 2018

Jf ni Kama bunge Jf ni Kama nyumbani Jf ni PAZURI Sana ndio maana mwingine hawezi kukaa wiki mzima bila kuchangia
 
Karibuni kwa matajiri wa JF humu kila mtu ana gari la ulaya la kutanua na moja la japan la kuendea sokoni, kila mwanamke ni mrembo na kila mwanaume anapiga goal tano na kuendelea. Kuna kila aina ya watu humu na wakuu vya vitengo vya Uchawi, Siasa, Ubishi, kula kimasihara na wazee wapopo wenye uzi wao wa JF usiku wa manane.
 
Back
Top Bottom