JamiiForums ya Maxence Melo imenipatia mume. Clepatina naolewa

Kila la kheri japo wasiwasi wangu utarudi hapa ukiwa una lia mno na pengine utabidiri ID kuogopa aibu, Mahusiano ya mitandaoni hayana bond yoyote, uongo mwingi kila mtu anamvizia mwenzake.
Tuambie tu siku ya ubwabwa tuandae meno
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uduguu hapanaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyo ndugu zake hawanipendii, ko na mie namuachaaaa
Sitaki visa vya reja reja ukweniiiiii.

Woiiiiiiih

Basi awaoe ndugu zake [emoji23][emoji23][emoji23]
[mention]IamBrianLeeSnr [/mention] bro umeanza lini kupangiwa wa kumkaza
 
Kweli we mlokole, hiyo Pete Kama ya silver, watoto wa siku hizi mnafeli wapi, mi dada yako hiyo Pete sijaikubali, kitu za dhahabu hata akikuacha unaenda sonara unauza unapata Cha kuanzia kuuza genge.
We do white gold and diamond nowdays.
Yellow gold is old school.
ThanksπŸ™
 
Ni pasua kichwa huyo achana na yeye 🀣🀣
 
Basi awaoe ndugu zake [emoji23][emoji23][emoji23]
[mention]IamBrianLeeSnr [/mention] bro umeanza lini kupangiwa wa kumkaza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguu sikuweziiii khaaaah.
Eti nn??
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wifi anaendeleaje lakini
Analeta lini thread ya kutangaza ndoa[emoji23][emoji23][emoji23]
Niko na google translator yangu hapa maana kwa kuandika kiarabu siwawezi
Mapenzi bhanaπŸ˜‚πŸ˜‚, soon naleta Uzi wangu wa kuwa single againπŸ˜‚πŸ˜‚ Darlin. Nitasema yotee
 
Huu ndio uhalisia mkuu hta Mimi binafsi sina shaka na huyu ndgu kujianzishia uzi anajitia tu vidole mku ndu ni halafu ananusa mwenyewe. Ni ujinga
 
Huu ndio uhalisia mkuu hta Mimi binafsi sina shaka na huyu ndgu kujianzishia uzi anajitia tu vidole mku ndu ni halafu ananusa mwenyewe. Ni ujinga
Duuuuh ila waja jaman [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Basi awaoe ndugu zake [emoji23][emoji23][emoji23]
[mention]IamBrianLeeSnr [/mention] bro umeanza lini kupangiwa wa kumkaza
Madam, leo naomba nikuekeze kidogo. Ukitaka ku-tag mtu, anza na @ kisha ID yake.

Utakuwa umemtag na atapata notification bila shaka.

Anza kwangu, nione kama mimi ni Mwl mzuri.
 
[emoji3][emoji3][emoji1] umenikmbsha za kimasiara ndo zinakuwaga ivo mara paap nakula kimasiara cute wife....hii inaitwa kuokota dodo kwenye mkomamanga)

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app

Hii infinix imenishtua sio [mention]NALIA NGWENA [/mention] kweli wewe [emoji23][emoji23][emoji23]
Dada [mention]Joannah [/mention] ebu nisaidie macho yangu yana shida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…