Darlin
JF-Expert Member
- Aug 9, 2020
- 4,796
- 10,646
Hahahaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787] yani ujanja wote kama sungura ila kupika ni zero...[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kumbe bado huja qualifie kuitwa wife material... Nahisi kuna mengi huyajui pia[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Juzi tu hapa ulkua huwezi kuishi bila yeye [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Daaaahhh JF hii[emoji119]