JamiiForums ya Maxence Melo imenipatia mume. Clepatina naolewa

JamiiForums ya Maxence Melo imenipatia mume. Clepatina naolewa

Wakati unasoma biblia kuna kitabu pia kizuri kitakupa mwongozo mwema kabisa katika mahusiano yako kinaitwa MEN ARE FROM MARS WOMEN ARE FROM VENUS hata kama ni mvivu kisome mdogo mdogo very useful na hakichoshi....(kila laheri kama ni kweli, make mambo ya jf ni mengi)
 
Kwa profile hiyo,hata kama sijaona sura ukiniambia tu ndio wewe

najiambia kimoyo moyo,MENGINE TUTAREKEBISHANA huko huko,Najitosa...

hata ingekua ndio mimi,ningeuliza swali 1 tu? huyo kwa profile ni nani?

ungejibu "wewe ndie" Bwana weee,sura tutatumia yangu,mengine yanaelekezeka,Mapemaaaa Tuuu...
 
Demu chenga huyu anawenge kilo 100 hata kupika hajui 😂😂😂 Clepatina hahahaaa... nasema huyo mlokole wa watu atakufa mapema sana, Bado unavingi vya kujifunza tukutane... Mbeleni nipo na wewe sambamba 🤣🤣🤣
Asante mi chenga ila nilidhan tunaheshimiana kumbe huniheshimu.
Sawa bora mim chenga kuliko wewe unagandana na gays na mademu kila saa halafu hujishtukii.
Usiniombee mabaya sijakukosea kitu bro🙏
 
Bro tulia kuachwa kawaida [emoji23][emoji23] mama tamuu si yupo lakini?! [mention]cocastic [/mention] uduguu bwana shemeji mbona anataka kumpea stress bi harusi wetu
Hahahaa...Mama tamuuu amenikataa pia🤣🤣🤣 yani mimi sina bahati kabisa, Nimekua na mkosi sana kila ninapotest zali mambo yana buma dah!😂😂😂
 
Asante mi chenga ila nilidhan tunaheshimiana kumbe huniheshimu.
Sawa bora mim chenga kuliko wewe unagandana na gays na mademu kila saa halafu hujishtukii.
Usiniombee mabaya sijakukosea kitu bro🙏
Madam umeokoka? Siyo vita vyote lazima upigane. Kuna comments hulazimiki kujibu. Puuzia.

Utaharibu mood na mumeo anakusoma. Utamfanya aanze kudoubt maamuzi yake.
 
Asante mi chenga ila nilidhan tunaheshimiana kumbe huniheshimu.
Sawa bora mim chenga kuliko wewe unagandana na gays na mademu kila saa halafu hujishtukii.
Usiniombee mabaya sijakukosea kitu bro🙏
Pole naona hayo maneno yamekugusa sana!

Tatizo nilipata mshituko nikaandika kwa jaziba endelea kusoma reply’s bado utakutana na nyingine...

Nisamehe kwa kukukwaza na pia nishakuambia sitoki na gays naomba unielewe please na sina tabia ya kugandana na wanawake ila ilikua ni kwaajili yako tu lengo nilitaka nione utafikiria nini zaidi but suddenly I have already move on and I realized what kind of a woman you’re 👍
 
Back
Top Bottom