JamiiForums ya Maxence Melo imenipatia mume. Clepatina naolewa

Hongera,zingatia hapo ulipoambiwa usome neno la Mungu na uhakikishe unaliishi,hiyo ndio itakuwa salama yako,kinyume cha hapo utaambulia mabua,maana umeingia kwenye ulingo ambao shetani anauwinda na kuupiga vita usiku na mchana...
 
Juzi umejifungulia Uzi kwa ID nyingine na Leo umekuja kujijibu..

Inabidi saa hizi tutumie NIDA kuwa na account JF, Ili ukitaka kucreate nyingine ikugomee tu
 
Kwa nini umamuombea mabaya mwanadamu mwenzako. Huwezi kusema Eh Mola naomba mabaya yampishe mpaka umtabirie mabaya?
I believe in Karma, lazima ulipie.
Hata matatizo mengi ya ndoa za saivi yanatokana na karma, esp wale wanaoana mume alikuwa mnunuaji/mhongaji mke alikuwa mchunaji/mdangaji they will never know peace labda unless they make make peace with themselves first, Sina mambo ya kupeana moyo nikuchanana ukweli, I'm not religious person
 
IamBrianLeeSnr akija naomba unitag. Toka juzi sijamuona sijui kama hata alilala nyumbani 😂 Nilimshauri ameze panadol mbili usikute alimeza mseto kibunda kizima
Demu chenga huyu anawenge kilo 100 hata kupika hajui 😂😂😂 Clepatina hahahaaa... nasema huyo mlokole wa watu atakufa mapema sana, Bado unavingi vya kujifunza tukutane... Mbeleni nipo na wewe sambamba 🤣🤣🤣
 

Mpendwa.

Inaonekana unajitambua na unaitambua nafasi yako kama mke; na hauko kama hawa pasua kichwa feminists uchwara wanaojifanya wanajua kila kitu kisa tu wamesoma, wana viajira (au vijihela vyao) na sasa eti wanajiona wako sawa na mwanaume!

Ukiweza kutimiza japo robo tu ya ahadi hizi "takatifu" ulizojiwekea basi kwa hakika utakuwa mke mwema; jamaa atakuwa amepata bonge la mke; na wanaume wengi watamwonea wivu.

Mungu na Akawasaidie na kuibariki ndoa yenu.....

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…