Gily Gru
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 8,632
- 23,673
You don't have to be religious my friend to know love. You could just advice her but not wishing her anything bad. .I believe in Karma, lazima ulipie.
Hata matatizo mengi ya ndoa za saivi yanatokana na karma, esp wale wanaoana mume alikuwa mnunuaji/mhongaji mke alikuwa mchunaji/mdangaji they will never know peace labda unless they make make peace with themselves first, Sina mambo ya kupeana moyo nikuchanana ukweli, I'm not religious person
I doubt kama ID ya Clepatina na IamBrianLeeSnr ni moja kwa sababu tunazungumza nao mara kwa mara.
Hata hivyo IamBrianLeeSnr huyu brother nimepata kumjua hapa. Sijawahi wasiliana nae nje ya JF labda tantalk ila ni mtu mwema sana. Pia sidhan mpaka aweke picha yake hapa alikuwa anafanya mzaha. Kweli anampemda huyu Clepatina. I can vouch for that. .