JamiiForums yamtumbua mtangazaji wa Nirvana (EATV), alazimika kuacha kazi ghafla..

Kuna shirila linaitwa TAYOA lipo bahari beach hawa ndio wahasishaji wakuu wa hii biashara.... Laiti ungewahi kujua yanayoendelea ungeandamana....
DAH Mimi nimeduwa sina la kusema Kapiga? ¿¿¿¿¿ Hili kundi lishakuwa kubwa pia ni ngumu kupambana nalo
 
Kuna shirila linaitwa TAYOA lipo bahari beach hawa ndio wahasishaji wakuu wa hii biashara.... Laiti ungewahi kujua yanayoendelea ungeandamana....
Brooo ndo hilo au?
 
Attachments

  • 1469031268326.jpg
    14.2 KB · Views: 102
Kuna shirila linaitwa TAYOA lipo bahari beach hawa ndio wahasishaji wakuu wa hii biashara.... Laiti ungewahi kujua yanayoendelea ungeandamana....
Hawa sio kama wanapenda vitendo ila donge nono ( kama kawaida ya wabongo kupenda misaada ) kwa sasa ukiwa na ng'os yako inashabikia hiyo biashara haramu utamiminiwa pesa mpaka unikie pesa
Kuna mtu alishanifata akanieleza tuanzishe ng'os ya ushoga zinalipa mnoo na wafadhili wapo wengi tena mabilionea huko duniani
Ila sababu Mungu kakataza nikasema hapana
 
Duuuuuh sitaki kuamini!
Deo anaacha kazi jamani?
[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
Namkubali sana...I'll gonna miss him!
 
anaelekea clouds tv au kwny tv mpya inayomilikwa na majizo itafunguliwa soon
 
ELTON JOHN anafadhili boooooonge la mradi lipo makumbusho!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…