JamiiForums yamtumbua mtangazaji wa Nirvana (EATV), alazimika kuacha kazi ghafla..

Nilidhani mm ndo nilikuwa na mtilia shaka kumbe wengi
 
Kwanini wameitwa 'mashoga'? Kwanini na nyie mnaitana 'shoga'.
Ukielewa hapo, tutaufunga mjadala huu kwa uzuuuuuuri..
 
Wewe kama unajua hiyo sababu sema hapa...Mimi point yangu ni MASHOGA WANAGEUZWA NA NANI?...maana hilo ndo tatizo linalolalamikiwa. Wanakuwepo si kwa sababu wanawake wanakuwa na urafiki nao bali kwa sababu WANAUME WENZAO wanawahitaji. Ova!
 
Haya. Umeshinda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…