Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
WHAAAT? uko sawa?100% Pisi kali ya kishua ikikupenda anamaanisha wewe tu ushindwe,kutana na mwajuma nchokonoe kalelewa kibabe utapigwa vitasa hadi uone dunia ni chungu.
Swali la msingi kwakweli; kwanini sisi ni waoga kupitiliza?Vijana tumekua waoga sana kupitiliza ila swal he Kenya wao hawaadhibu watoto wao? Mbona wako na ujasir sana watu wasioogopa lolote kwann sisi watanzania tupo ivi tunashida mahali hata kama ni makuzi na malezi ila tumepitiliza.
Watu wanatengeneza contents mbalimbali Ili watu wasijikite kwenye kesi ya lisu Hilo nimeligundua Toka juzi sijui harusi sijui huyu mimba sijui hili Ili mradi wapumbaze watu
Haaa haaa, vile nimecheka sasa 😂 😂 😂 😂 😂Ni nyege tu ndio zinafanya tukose madini ya muhimu kama haya kutoka kwako
Ila ukijizuiaga unatoa point za muhimu sana madam👏👏👏
Ni mwendo wa kujenga na kubomoa😂😂😂Haaa haaa, vile nimecheka sasa 😂 😂 😂 😂 😂
Tutarudi tena kwenye yale mambo yetu ya raha weekend.
Hakuna kubomoa buana 😂 😂 😂 😂 😂Ni mwendo wa kujenga na kubomoa😂😂😂
Kila mtu ana mapungufu yake,,,please Hii picha sio nzuri kama ukiweza uidelete...She is our president tumheshimu Tu.Hii picha ni mbaya.Embu Wana jf tukae duara wotee alafu kati tuache nafac alafu tumueke mama hapo katii ,,,
Ww km mwa jf utamwambia nn haraka haraka na umepewa dkk 1 tuView attachment 3353973
Nimefika ... SamelekooMwandishi wa vitabu vya afya ya akili kwa watoto makutupora njoo useme neno
Wa alaykum assalam mdogo wangu 😂Nimefika ... Samelekoo
wap ujaelewa?WHAAAT? uko sawa?
Sijaelewa reply yako yote, tafadhali nidadavuliewap ujaelewa?
Nimeiripoti na imefutwaKila mtu ana mapungufu yake,,,please Hii picha sio nzuri kama ukiweza uidelete...She is our president tumheshimu Tu.Hii picha ni mbaya.
Malezi na makuzi ya effect kubwa hata kwenye mahusiano ya kimapenzi.Sijaelewa reply yako yote, tafadhali nidadavulie
Tunashangaa, mbona polisi wanapiga bila huruma, wanasiasa wakatili wakati na wao wakiwa watoto shuleni na nyumbani walipigwa bila huruma, ubinadamu watautolea wapi?Yaah hiyo ni kweli kabisa.
Bongo madogo wanakula kichapo sio poa, nae akikua anawapa kichapo wadogo zake.