Jamvi la wageni

Jamvi la wageni

Duh. Asante umefafanua vizuri sana .. Tunaweza kusema basi jamvi la wageni ni sawa na ule usemi mwingine wa maharagwe ya Mbeya! Chupi mkononi.. Yaani unacho huna yeye poa tu.. Hata kama umemtania yeye anajua unamaanisha! Ni kweli kabisa baadhi ya majamvi ni laana za wazazi, ndugu wa karibu au ukoo.. Na cha kushangaza wala hawapati magonjwa​
🤣 🤣 Wale kupata magonjwa ni ngumu, ni kama vile ilivyo vigumu kwa chizi kuugua magonjwa ya tumbo japo chakula chake anakipata katika mazingira machafu.​
 
Hivi kwanini swala la ngono huwa linakua negative kwa mwanamke???
Mwanaume akiwa na wanawake wengi hamna shida ikiwa kwa mwanamke mambo yanazuka ni kwanini??
Usinipe jibu la necha.
Mwanamke atii, mwanaume apende. Jibu lipo hapo kwenye hio scenario! Kinyume na hapo ni mabalaa!
 
Umenena vyema, msemo wa jamvi la wageni unatumika kama lugha kificho kumuelezea mwanamke mwenye tabia za kimalaya, yaani yule asiyebagua wala kuchagua. Jamvi la wageni kama ulivyosema utumiwa na kila mtu,yaani huwezi kukataa kulitoa hata kama haujui dhamira ya ujio wa mgeni​
Sawa kabisa, malaya ni mithili ya choo cha stand au sokoni! Kukitumia ni lazima ufanye malipo.
 
[emoji1787] [emoji1787] Wale kupata magonjwa ni ngumu, ni kama vile ilivyo vigumu kwa chizi kuugua magonjwa ya tumbo japo chakula chake anakipata katika mazingira machafu.​
Umenikumbusha kitu,nilikuwa na rafiki yangu sasa ni marehemu,yeye alikuwa muadilifu sana kuhusu kuvunja amri ya sita,ila mimi nilikuwa mtukutu nilikuwa nawabutua sana. Siku moja alikuwa ananipa darasa nibadilike nikamwambia mimi siwezi kuacha akaniambia lakini cha ajabu watu wa dizaini yenu hampati magonjwa ya zinaa, baada ya muda wa miaka mitano nikakutana naye alikuwa amedhoofika sana nikamuuliza shida nini, kwa vile alikuwa rafiki yangu akaniambia ukweli kuwa ana ngoma na ameletewa na mkewe ambaye hakuwa mwaminifu. Iliniuma sana kwani jamaa alikuwa anajichunga sana. Ila nashukuru Mungu siku hizi nimejirekebisha,sichepuki tena.
 
Umenikumbusha kitu,nilikuwa na rafiki yangu sasa ni marehemu,yeye alikuwa muadilifu sana kuhusu kuvunja amri ya sita,ila mimi nilikuwa mtukutu nilikuwa nawabutua sana. Siku moja alikuwa ananipa darasa nibadilike nikamwambia mimi siwezi kuacha akaniambia lakini cha ajabu watu wa dizaini yenu hampati magonjwa ya zinaa,baada ya muda wa miaka mitano nikakutana naye alikuwa amedhoofika sana nikamuuliza shida nini,kwa vile alikuwa rafiki yangu akaniambia ukweli kuwa ana ngoma na ameletewa na mkewe ambaye hakuwa mwaminifu. Iliniuma sana kwani jamaa alikuwa anajichunga sana. Ila nashukuru Mungu siku hizi nimejirekebisha,sichepuki

Umenikumbusha kitu,nilikuwa na rafiki yangu sasa ni marehemu,yeye alikuwa muadilifu sana kuhusu kuvunja amri ya sita,ila mimi nilikuwa mtukutu nilikuwa nawabutua sana. Siku moja alikuwa ananipa darasa nibadilike nikamwambia mimi siwezi kuacha akaniambia lakini cha ajabu watu wa dizaini yenu hampati magonjwa ya zinaa,baada ya muda wa miaka mitano nikakutana naye alikuwa amedhoofika sana nikamuuliza shida nini,kwa vile alikuwa rafiki yangu akaniambia ukweli kuwa ana ngoma na ameletewa na mkewe ambaye hakuwa mwaminifu. Iliniuma sana kwani jamaa alikuwa anajichunga sana. Ila nashukuru Mungu siku hizi nimejirekebisha,sichepuki tena.
🥺🥺 watu wema ulizwa na watu waovu, waovu kwa waovu hawaleteani sana madhara, ila mkuu hongera kwa kuacha uchepukaji maana sio dili, ukikosa ngoma kwenye uchepukaji kiuchumi lazima uyumbe tu.
 
Umenikumbusha kitu,nilikuwa na rafiki yangu sasa ni marehemu,yeye alikuwa muadilifu sana kuhusu kuvunja amri ya sita,ila mimi nilikuwa mtukutu nilikuwa nawabutua sana. Siku moja alikuwa ananipa darasa nibadilike nikamwambia mimi siwezi kuacha akaniambia lakini cha ajabu watu wa dizaini yenu hampati magonjwa ya zinaa,baada ya muda wa miaka mitano nikakutana naye alikuwa amedhoofika sana nikamuuliza shida nini,kwa vile alikuwa rafiki yangu akaniambia ukweli kuwa ana ngoma na ameletewa na mkewe ambaye hakuwa mwaminifu. Iliniuma sana kwani jamaa alikuwa anajichunga sana. Ila nashukuru Mungu siku hizi nimejirekebisha,sichepuki tena.
Nashukuru Mungu siku hizi nimejirekebisha, sichepuki tena.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom