JAMVI LA WANAWAKE: Baada ya kumuoa anataka wawe wanafanya mapenzi kinyume na maumbile, afanyaje?

usaidiane kumshauri (kwa hekima na siyo kumkebehi, kumchamba au kuandika maneno yasiyofaa ya kumdhihaki) nitamtumia replies zenu!
Awashirikishe wadhamini wake wa ndoa na Mungu atamsimamia,endapo hakutumia kumshawisi kwa kumpa tendo hilo ili aolewe.
Kama alimpata kwa kutumia kitendo hicho kama chambo ,hapo acha wafu wazike wafu wao.
 
Aondoke hapo hapamfai, hamna haja kuendelea hapo, ataumizwa na ataachwa, na atajuta sana, huyo sio mtu, mbona Mume hajawaza ndoa changa? Amka la kama hutaki ilee ndoa iwe kubwa kwa kuharibiwa uone siku ukiachwa ndo itakuwa ndoa kubwa uone kama Kuna mtu atakutaka na Kila kitu kikitoka bila breki, Dada hapo hakuna Mume ondoka Wala si suala la kupeleka kwa wazazi, wazazi utawajulisha tu kwa nini umeondoka na hata wakisuluhisha usikubali hapo mtu hamna.
 
Nimecheka.. kwamba washenga nao friji hazigandishi.

Yawezekana kamwambia jamaa bado hamuelewi.. au amsemee kwa baba yake 🤣
Kamba baba yake ni member si ndiyo atamwambia mambo yenu ya chumbani elewaneni wenyewe hayo wengi huyafanya lakini hawayavujishi nje.
 
usipokemea dhambi katika wakati muafaka baadae inakua ni haki,
usipokemea uchafu wa aina hiyo mapema katika wakati muafaka, baadae inakua ni usafi.


kataa huo uchafu na utaweka heshima ya kipekee sana baina yako, dhidi ya mumewe.
kamwe hatothubutu kukushirikisha ujinga mwingine kwasababu hupendi ujinga
 
Mtu anayeweza kula kisamvu hasindwi Kuua binadamu mwenzake
 
Makubaliano yao ya awali yalikua yanataka nini?
Kama ni kujenga familia basi mume apitie kwenye viungo vya uzazi halali vya binti husika na sio kutempa tempa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…