JAMVI LA WANAWAKE: Baada ya kumuoa anataka wawe wanafanya mapenzi kinyume na maumbile, afanyaje?

Watu wameshaulipia mwili wake , hakuna namna atumikie mahari ya watu.
 
Ampe tu hakuna baya maana huyo ni mumewe na wao wameshakuwa mwili mmoja sasa.
 
Mpe tuu, Naskia wanawake mnapata raha sana mkifanywa huko
 
Soma hiyo
 

Attachments

  • IMG-20250216-WA0001.jpg
    66.3 KB · Views: 2
Basi jf mtajifanya hampeanagi yas.... Acheni uongo!!!!!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 harmonize kuna tetesi anawafukua sana mitaro mademu zake, sipatii picha kale katoto Abigael kama kweli wanadate inakuwaje.
Chai
 
Labda shemeji ni upinde wa mvua, kitu cha kufanya aende nae kwa Mwamposa.
 
maamuzi ni yake kumpa au apotezee na ndoa avunje.
 
Hiyo ndiyo changamoto inayowakuta mabinti wapenda pesa na kuolewa na wanaume wenye maisha mazur kumbe ni mabasha na kueaacha wanaume wazuri wastarabu ambao wanawadhalau kuwa hawana maisha

Natumai uyo jamaa ana pesa ndiyo maana mwanamke yupo njia panda angekuwa kapuku asingeitaji hata ushaur ndoa angeivunja Toka siku hiyohiyo ya kwanza

Akomeee Tena akomeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…