Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
Kweli wamama watu wazima wako vizuri sana.Labda awe ni mmaza wa kuweza kukuzaa ndo wanakuwaga wako vizuri hawana roho mbaya ukimuonyesha nidhamu hakika utafurahi, ila rika moja tena umzidi muonekano heheheheeee utajuta
UsiombeKweli wamama watu wazima wako vizuri sana.
Sijawahi kuwa na boss tunayelingana umri 😂
Yameshakukuta niniUsiombe
HapanaYameshakukuta nini
Kweli, kila mtu ana pande mbiliBinadamu ni mnyama awe mwanaume awe mwanamke. Hakuna zaidi ya hapo . Kila binadamu ana pande mbili
Nimependa ulivyofanya marketing ya kazi yako. I hope kuna potential clients wataioa. All the best!Binafsi katikarakati zangu sijawahi kuwa na kiongozi mwanamke zaidi ya SSH.
Anyway, wakuu mimi najishughulisha na mambo ya AS-BUILT SITE SURVEY KWENYE MIRADI YA UMEME naombeni deal ili nisife njaa huku kwenye miji ya watu.
Ni kweli, ila humo kwenye mabenki mimi nimeona dharau kutoka kwa wanaume zaidi hata ya wanawake.Hapana
Ila humo maofisini vibandani wanawake kwa asilimia kubwa wana nyodo, dharau na visirani na hapo unakuta hana nafasi kubwa kimamlaka akiipata je inakuwaje, na wale wanapokuwa nae muda mwingi???
Pita kwenye mpesa, mabenki, migahawa, vituo vya mafuta, ofisi za umma, ndo utajua mwanamke ni nani
Uongozi hauna njinsia wala umri wala uongozi haufundishwi vyuoni . Uongozi talent mtu anazaliwa na anaamuwa kukuza na kuzifanya kuwa msingi wa maisha yake. Mtu kuwa na talent haimanishi kwamba talent inakuwa yenyewe na kuanza kuonekana. Talent ili iwe na manufaa kwa jammi na mwenye nayo lazima talent hiyo ikuzwe kwa mafuzo na mazoezi.Uzoefu wako kwenye mazingira yako ya kazi na utafutaji yanasemaje.
Je kuna tofauti ya haiba ya uongozi na utawala kati ya wanaume na wanawake? Je ni kweli kwamba viongozi wanawake ni waelewa na wana huruma zaidi hasa kwenye changamoto binafsi kama za kiafya au matatizo ya kifamilia?
View attachment 3316470
View attachment 3316472
View attachment 3316471
Kama mtoto wake as in mwanae au kama mtoto wake as TotooooWakati nasoma chuo kuna Dr wa kike alikua ananipenda Balaa kama mtoto wake nakumbuka kuna kipindi akaniambia niende kwake niishi niwe nalala hukohuko. Pesa alinipa bila kinyongo na sio chache aisee nilikua nampenda sana yule mama
Nimekuelewa, muda mwingine emphathy inachukuliwa kama udhaifu unalazimishwa na mazingira kubadilika.Viongozi wanawake Wana huruma kuliko wanaume lakin akizungukwa na wanaume ni rahisi sana kubadilika na kukosa ile huruma ya mwanzo ikiwa tu hao wanaume watakua chanzo Cha kuibadili hio tabia yake.
Ngoja wadau waje watuelezeNi kweli, ila humo kwenye mabenki mimi nimeona dharau kutoka kwa wanaume zaidi hata ya wanawake.
Uongozi hauna jinsia - 💯Uongozi hauna njinsia wala umri wala uongozi haufundishwi vyuoni . Uongozi talent mtu anazaliwa na anaamuwa kukuza na kuzifanya kuwa msingi wa maisha yake. Mtu kuwa na talent haimanishi kwamba talent inakuwa yenyewe na kuanza kuonekana. Talent ili iwe na manufaa kwa jammi na mwenye nayo lazima talent hiyo ikuzwe kwa mafuzo na mazoezi.